Kwasababu ya "Bad Weather", Tesla wamesogeza Mbele Tena Event ya Roadster 2, sasa ni October 15.

Kwasababu ya "Bad Weather", Tesla wamesogeza Mbele Tena Event ya Roadster 2, sasa ni October 15.

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Tulitegemea tar 1 October, Tesla wafanye event ya kuzindua Roadster 2, ila imeshindikana kutokana na kutegemea kua na bad weather na Tesla wanasema hii event lazima ifanyike nje.
1469.jpg

Kwa heshima yenu, naomba tukutane week mbili zijazo, Tesla watushangaze.
1471.jpg

Kwanini wanalazimisha ifanyike nje? Au ni kweli itakua Ina paa kama tetesi?
1470.png

Ngoja tuone.
 
Back
Top Bottom