Tulitegemea tar 1 October, Tesla wafanye event ya kuzindua Roadster 2, ila imeshindikana kutokana na kutegemea kua na bad weather na Tesla wanasema hii event lazima ifanyike nje.
View attachment 3681462
Kwa heshima yenu, naomba tukutane week mbili zijazo, Tesla watushangaze.
View attachment 3681467
Kwanini wanalazimisha ifanyike nje? Au ni kweli itakua Ina paa kama tetesi?
View attachment 3681468
Ngoja tuone.