Kwasasa tumekuwa Taifa la kuvaa jezi mahali popote

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Mtu yupo kanisani au msikitini kavaa jezi ya Man Utd.

Mtu yupo harusini au msibani kavaa jezi ya Yanga.

Mtu kaendda kufata huduma ofisi za serikali, kaenda kupiga passport kwa ajili ya Kitambulisho cha NIDA kavaa jezi ya Simba.

Mtu kaenda mahakamani kavaa jezi ya Barcelona.

Watanzania nani katuroga na huu mlipuko wa kuvaa jezi kila sehemu?

Jezi zina maeneo yake bhana sio kila sehemu!! Tubadilike…
 
Mitanzania mingi ni Mazezeta!
 
kuna jamaa yangu mmoja anafanya kazi kama afisa mikopo, anahudumia wateja na jezi la simba...nilimkaripia pila kujali umri wake na ukaribu wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…