Kwasasa tumekuwa Taifa la kuvaa jezi mahali popote

Kwasasa tumekuwa Taifa la kuvaa jezi mahali popote

Mtu yupo kanisani au msikitini kavaa jezi ya Man Utd.

Mtu yupo harusini au msibani kavaa jezi ya Yanga.

Mtu kaendda kufata huduma ofisi za serikali, kaenda kupiga passport kwa ajili ya Kitambulisho cha NIDA kavaa jezi ya Simba.

Mtu kaenda mahakamani kavaa jezi ya Barcelona.

Watanzania nani katuroga na huu mlipuko wa kuvaa jezi kila sehemu?

Jezi zina maeneo yake bhana sio kila sehemu!! Tubadilike…
Kanunue ya Liverpool au ya Madrid na wee uvae hazijaisha.
 
Back
Top Bottom