Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Fanya kazi kenge wewe kipato hakiji kizembe njaa inakusumbuaNi ujinga mtupu, wabongo wengi mashabiki wa mpira ni malimbukeni na wamewehuka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya kazi kenge wewe kipato hakiji kizembe njaa inakusumbuaNi ujinga mtupu, wabongo wengi mashabiki wa mpira ni malimbukeni na wamewehuka.
Kanunue ya Liverpool au ya Madrid na wee uvae hazijaisha.Mtu yupo kanisani au msikitini kavaa jezi ya Man Utd.
Mtu yupo harusini au msibani kavaa jezi ya Yanga.
Mtu kaendda kufata huduma ofisi za serikali, kaenda kupiga passport kwa ajili ya Kitambulisho cha NIDA kavaa jezi ya Simba.
Mtu kaenda mahakamani kavaa jezi ya Barcelona.
Watanzania nani katuroga na huu mlipuko wa kuvaa jezi kila sehemu?
Jezi zina maeneo yake bhana sio kila sehemu!! Tubadilike…
Hapana. Unatakiwa UJALI SHIDA ZAKO.hauwezi kumpangia mtu avae nini.Endelea kuwa mjinga kwa kujigeuza Afisa masoko wa Man United.