UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 2,753
- 12,932
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane
MOJA KWA MOJA KWA MAKOLO
Kwasasa zile kelele za "GSM anaharibu ligi" hazisikiki kabisa!
Kwasasa Makolokwinyo wamehamia kwenye mjadala wa kizushi na Kishambenga kutoka Kwa muhasisi wa mjadala huo Jemedari Said!
Hata wale wazee washinda njaa pale Bunju sijawasikia tena na zile kelele zao za kishangingi ya kwamba mke wa Kalia anafanya kazi Kwa GSM ndiyo maana ligi yetu imeharibiwa!,
Kwasasa wameungana na Tabora United kutubeza kana kwamba wamebeba Ubingwa!
Kashinda Tabora ambaye Hana Ulimbukeni na ushindi ila Makolokwinyo ndiyo wanafuraha utadhani wakishinda wao!
Hizi furaha naomba ziendelee hata Yanga akiwa anashinda,zile kelele za GSM anaharibu ligi zisiwepo kwasababu imefahamika GSM aharibu ligi kama ambavyo MAKOLOKWINYO wameendelea kuwaminisha watu!
Tunaona timu zote kwasasa zinashinda Kwa uwezo wao,hivyo Mimi kama mwanayanga nawaomba Makolokwinyo wakiongozwa na shambenga la mji GENTAMYCINE na ndugu yake OKW BOBAN SUNZU hapo baadae kusije kuwepo na vilio ya kwamba GSM anaharibu ligi!
Karibuni Kwa matusi!