Kwasasa zile kelele za GSM anaharibu ligi kutoka Simba hazisikiki tena !

Lakini haina maana kuwa tatizo limetatuliwa, watu wanasubiri tff itoe majibu.
 
KMC Complex nayo imeanza kufungwa camera vyumbani
 
Zile siku Saba kutoka Kwa Wazee wenu washinda njaa pale Bunju bado hazijafika?

Eti Kolokwinyo,hebu tuambie
Ujumbe ulifika na ndio maana anayehangaika siku hizi ni yanga, hatulii, mara uwanja, mara anakamatwa ulozi, mara sindano za kuongeza makalio
 
Ligi imesimama kelele utazisikia wapi!
 
kishambenga
kishangingi
makolokwinyo
tusichoshane

Mbona toka utoke Mara na kuja Jiji la pwani umekuwa na misemo ya kiupinde upinde.

Wakurya wenzako wakikusikia hivi wanaweza wakafyeka hicho kikojoleo chako.

unawaibisha na kuwafedhehesha sana Wakurya
 
Tabora united fever
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…