Majina ya selection yametoka vyuoni mf. Jana ifm wamekuja with th first round watuwakitegemea second round ila uki angalia admision capacity unakuta kua sehemu zote zimejaa. .xo if u missed th 1st round. .CJUI NDO UMEKOSA CHUO
kuandika first selection sio maana yake ni watu wa first round......... mimi niliapply second round na nimechaguliwa udom kiroho safi ....acha kuwatisha watu