Kwawale mnaosubiri second round. .jitayarisheni na diploma

Kwawale mnaosubiri second round. .jitayarisheni na diploma

Joram kiango

Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
82
Reaction score
16
Majina ya selection yametoka vyuoni mf. Jana ifm wamekuja with th first round watuwakitegemea second round ila uki angalia admision capacity unakuta kua sehemu zote zimejaa. .xo if u missed th 1st round. .CJUI NDO UMEKOSA CHUO
 
kuandika first selection sio maana yake ni watu wa first round......... mimi niliapply second round na nimechaguliwa udom kiroho safi ....acha kuwatisha watu
 
Jamani mimi niliambia ni jaze chuo kimoja kwenye system ya first come save.. Nisaidie coz sielewi
 
Hamjanielewa. .kweny yale majina ifm juu wameandika first round that means kuna second round lakini ukiangalia admission capacity imetimia
 
Back
Top Bottom