moi wa kitaa
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 931
- 940
Tetesi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weweee kweli kunguniNatamani mke Wangu aanze kuimba kwaya faster niende nae maana ananyonyesha.....hahahaha
On my wayWeweee kweli kunguni
Unadhani wanaenda na madufu?Hayo Magitaa msiyajaze poda tu.
Hii ndio Ile inayokata kiuno au 😜😜😜On my way
USUMBUFU TUZipo tetesi Kwaya hii maarufu inajiandaa kukwea pipa mpaka London kufuatia mwaliko ili kuwafariji wafiwa huko! Tunashukuru IEBC kwa kutupaisha kimataifa
Mi naikubali Yesu ni mwema"
Zipo tetesi......Kwa hiyo haijathibitishwa? Ni tetesi TU?Zipo tetesi Kwaya hii maarufu inajiandaa kukwea pipa mpaka London kufuatia mwaliko ili kuwafariji wafiwa huko! Tunashukuru IEBC kwa kutupaisha kimataifa
yes iliyopo makuburi nafikiriHivi kizito ni hii hii ya Mwenyeheri anuarite makuburi???
Hahahhaaha Dar Mwanza 12hrsHii ndio Ile inayokata kiuno au 😜😜😜
Tunajivunia Kanisa kuu Katoliki la Mitume.Na iwe kweli
lipo Dar Parokia ya Mt kizito makuburiKizito ipo wapi na kanisa gani inakwenda kuwakilisha huko
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa,jamaa wako vizuri sana.Hongera zao hii kwaya naikubali sana
Subirini hadi mfalme wa Uarabu aage dunia.Na sisi wa Qaswida mualiko wetu lini?
Lilipo Hilo Kanisa ni Ulaya Kabisa iliyo Tz panaitwa Kunduchi Mtaa wa Kilongawima(Wanaishi Watu Wasomi Sana hasa waliosoma Ulaya na nimatajiri) hivyo sioni Cha kushangaza kupata hiyo connection .Zipo tetesi Kwaya hii maarufu inajiandaa kukwea pipa mpaka London kufuatia mwaliko ili kuwafariji wafiwa huko! Tunashukuru IEBC kwa kutupaisha kimataifa