Tetesi: Kwaya ya Mt. Kizito yaalikwa UK

Zipo tetesi Kwaya hii maarufu inajiandaa kukwea pipa mpaka London kufuatia mwaliko ili kuwafariji wafiwa huko! Tunashukuru IEBC kwa kutupaisha kimataifa
Zipo tetesi......Kwa hiyo haijathibitishwa? Ni tetesi TU?
 
Zipo tetesi Kwaya hii maarufu inajiandaa kukwea pipa mpaka London kufuatia mwaliko ili kuwafariji wafiwa huko! Tunashukuru IEBC kwa kutupaisha kimataifa
Lilipo Hilo Kanisa ni Ulaya Kabisa iliyo Tz panaitwa Kunduchi Mtaa wa Kilongawima(Wanaishi Watu Wasomi Sana hasa waliosoma Ulaya na nimatajiri) hivyo sioni Cha kushangaza kupata hiyo connection .
 
Wanaba vizuri ila tatizo wana kaushomile bin urangira mwingi hata melody zao nyingi ni za kirangira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…