Uchaguzi 2020 Kweka wa Kibaha anapumulia oxygen kwenye Kampeni

Kweli jamaa Ni tajiri kweli kwelii......Ana cartaring service analisha migodi yote ya barrick,Ana miradi kibao ya mabilioni pia Ana kampuni ya personal protective equipment (PPE) na kiwanda jamaa is very rich aseeee sema hajionyeshi na hakunaa wa kumtoa kibaha
 
Utajili wake ndiyo unamfanya ashinde? Nadhani kama hajawafanyia kitu wananchi wanaweza kufanya lolote
 
Mgombea Ubunge Kibaha Bw. Kweka aliwapotezea wananchi akaendelea kutenda yake. Leo kwenye kampeni mzee huyu anapumulia mashine, wananchi wamemchoka na wajumbe pia walimkataa washukuriwe kina mama waliombeba.

CCM msaidieni huyu mtu kuwaomba wananchi msamaha na aache kiburi na majivuno, alitumwa kazi bungeni alipaswa kuifanya kazi aliyotumwa.

MATUNDA yakukaa kimya bungeni bila kuwasemea wananchi yanamgharimu.
Bila Tumeccm na Polisiccm. Hawafui dafu hawa.
 
Koka syo kweka,huyo ni bonge la mjasiriamali na lina hela mingi ubunge hapo anapiga mark time tu
Na sijui kama mtaweza kumtoa hapo

Ova

Nami nimeliona hilo, kwa Kibaha Koka hamna wa kumtikisa
 
Mgombea Ubunge Kibaha Bw. Kweka aliwapotezea wananchi akaendelea kutenda yake. Leo kwenye kampeni mzee huyu anapumulia mashine, wananchi wamemchoka na wajumbe pia walimkataa washukuriwe kina mama waliombeba.

CCM msaidieni huyu mtu kuwaomba wananchi msamaha na aache kiburi na majivuno, alitumwa kazi bungeni alipaswa kuifanya kazi aliyotumwa.

MATUNDA yakukaa kimya bungeni bila kuwasemea wananchi yanamgharimu.
Hahaha hahaha sasa Kama unaleta Taarifa za MTU usiemjua jina tukuelewaje acheni kukurupuka BAVICHA
 
Mgombea Ubunge Kibaha Bw. Kweka aliwapotezea wananchi akaendelea kutenda yake. Leo kwenye kampeni mzee huyu anapumulia mashine, wananchi wamemchoka na wajumbe pia walimkataa washukuriwe kina mama waliombeba.

CCM msaidieni huyu mtu kuwaomba wananchi msamaha na aache kiburi na majivuno, alitumwa kazi bungeni alipaswa kuifanya kazi aliyotumwa.

MATUNDA yakukaa kimya bungeni bila kuwasemea wananchi yanamgharimu.
Hivi ni Kweka au Koka?
 
Semehe saba mara sabini
 
Back
Top Bottom