Utajili wake ndiyo unamfanya ashinde? Nadhani kama hajawafanyia kitu wananchi wanaweza kufanya loloteKweli jamaa Ni tajiri kweli kwelii......Ana cartaring service analisha migodi yote ya barrick,Ana miradi kibao ya mabilioni pia Ana kampuni ya personal protective equipment (PPE) na kiwanda jamaa is very rich aseeee sema hajionyeshi na hakunaa wa kumtoa kibaha
Bila Tumeccm na Polisiccm. Hawafui dafu hawa.Mgombea Ubunge Kibaha Bw. Kweka aliwapotezea wananchi akaendelea kutenda yake. Leo kwenye kampeni mzee huyu anapumulia mashine, wananchi wamemchoka na wajumbe pia walimkataa washukuriwe kina mama waliombeba.
CCM msaidieni huyu mtu kuwaomba wananchi msamaha na aache kiburi na majivuno, alitumwa kazi bungeni alipaswa kuifanya kazi aliyotumwa.
MATUNDA yakukaa kimya bungeni bila kuwasemea wananchi yanamgharimu.
Kwa hiyo Ako catering ndio ina mpa kiburi? Any way Chadema wana hali gani?Koka syo kweka,huyo ni bonge la mjasiriamali na lina hela mingi ubunge hapo anapiga mark time tu
Na sijui kama mtaweza kumtoa hapo
Ova
Mkuu huyu jamaa,kutokana na utajiri wake ameanzisha miradi mingi sana na kuwapa vijana wa kibaha ajira,pia anawasaidia sanaUtajili wake ndiyo unamfanya ashinde? Nadhani kama hajawafanyia kitu wananchi wanaweza kufanya lolote
Utajiri anao. Mshirika wa mkwere huyo.Anamiliki hela nyingi huyo hata wakimyima hakuna ubaya utajiri wake ni zaidi ya bilioni kumi sema hapendi show off
Koka syo kweka,huyo ni bonge la mjasiriamali na lina hela mingi ubunge hapo anapiga mark time tu
Na sijui kama mtaweza kumtoa hapo
Ova
Usisahau PPE,cherry industry,miradi ya kuku morogoro,saccos
Hahaha hahaha sasa Kama unaleta Taarifa za MTU usiemjua jina tukuelewaje acheni kukurupuka BAVICHAMgombea Ubunge Kibaha Bw. Kweka aliwapotezea wananchi akaendelea kutenda yake. Leo kwenye kampeni mzee huyu anapumulia mashine, wananchi wamemchoka na wajumbe pia walimkataa washukuriwe kina mama waliombeba.
CCM msaidieni huyu mtu kuwaomba wananchi msamaha na aache kiburi na majivuno, alitumwa kazi bungeni alipaswa kuifanya kazi aliyotumwa.
MATUNDA yakukaa kimya bungeni bila kuwasemea wananchi yanamgharimu.
Hivi ni Kweka au Koka?Mgombea Ubunge Kibaha Bw. Kweka aliwapotezea wananchi akaendelea kutenda yake. Leo kwenye kampeni mzee huyu anapumulia mashine, wananchi wamemchoka na wajumbe pia walimkataa washukuriwe kina mama waliombeba.
CCM msaidieni huyu mtu kuwaomba wananchi msamaha na aache kiburi na majivuno, alitumwa kazi bungeni alipaswa kuifanya kazi aliyotumwa.
MATUNDA yakukaa kimya bungeni bila kuwasemea wananchi yanamgharimu.
Semehe saba mara sabiniMgombea Ubunge Kibaha Bw. Kweka aliwapotezea wananchi akaendelea kutenda yake. Leo kwenye kampeni mzee huyu anapumulia mashine, wananchi wamemchoka na wajumbe pia walimkataa washukuriwe kina mama waliombeba.
CCM msaidieni huyu mtu kuwaomba wananchi msamaha na aache kiburi na majivuno, alitumwa kazi bungeni alipaswa kuifanya kazi aliyotumwa.
MATUNDA yakukaa kimya bungeni bila kuwasemea wananchi yanamgharimu.
KweliKoka syo kweka,huyo ni bonge la mjasiriamali na lina hela mingi ubunge hapo anapiga mark time tu
Na sijui kama mtaweza kumtoa hapo
Ova
Ndo huyohuyo!!Anaitwa FESTO KOKA sio KWEKA