kwel nimeamin maneno ya robert kiyosaki kwamba maskin ndyo mlipa kodi peke yke

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
403
kwa muda nimekuwa nikifuatilia vitabu vya robert kiyosaki hyu jamaa anaandika ukwel mtupu kwa hii point ya maskin ndyo mlipa kodi waweza ona jinsi serikal ilivyoyapandia kodi makampun ya cm sasa kwa kuutua mzigo makampun hya yameongeza gharama za huduma zao sasa waweza ona ngoma imerud pale pale mvuja jasho ndyo atayolipa hyo kodi ya serikal...... voda tigo zantel na airtel wanakula kiulain
 
serikali wakiongeza kodi mzigo huo auendi kwa kampun bali raia masikin.ndio apo ujue kampun azilip kodi bali raia ndio wanalipa.
kampun ni mwendo wa faida tu.
 
serikali wakiongeza kodi mzigo huo auendi kwa kampun bali raia masikin.ndio apo ujue kampun azilip kodi bali raia ndio wanalipa.
kampun ni mwendo wa faida tu.

mkuu km umesoma kitabu cha rich dad poor dad utakuwa umethibitisha hya na serikal haiwez kuyabana haya makampun coz wanayategemea yalipe kodi ili waweze kuendesha bajeti yao hlf pia kuipunguzia serikal mzigo wa ajira ukiwa na kampun raha sna
 
nimekisoma na ninacho kwenye computer.
 
me bado nakisoma, ni kitabu kizuri sana.

mkuu basat na uhakika ukimaliza kusoma hicho hutakuwa the same person u were kitabalisha kbsa ur attitude of thinking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…