komeka
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 1,072
- 403
kwa muda nimekuwa nikifuatilia vitabu vya robert kiyosaki hyu jamaa anaandika ukwel mtupu kwa hii point ya maskin ndyo mlipa kodi waweza ona jinsi serikal ilivyoyapandia kodi makampun ya cm sasa kwa kuutua mzigo makampun hya yameongeza gharama za huduma zao sasa waweza ona ngoma imerud pale pale mvuja jasho ndyo atayolipa hyo kodi ya serikal...... voda tigo zantel na airtel wanakula kiulain