hyo art anayouza i wapi marijuana ni so...
we nawe umechanganya madawa.aliyeimba niko kitandani akapewa gari ni feruzi na huyu ni 20% .Jamani, kwani huyu ni nani?
Sio aliyeimba mimi niko Kitandani Presd Mkapa akampa gari?
hawajui km bangi ndo inafanya mtu ashushe mistari ila ikizd ni noma.kama pombe vileSioni uchafu wake ulipo watu kusikia bangi povu linawamwagika ovyo!
Unawashwa na nini kutuibulia thread za kale? au umeachika?