Kweli bangiii MBAYA kweliii bangeee MBAYAAA

Kweli bangiii MBAYA kweliii bangeee MBAYAAA

Sioni uchafu wake ulipo watu kusikia bangi povu linawamwagika ovyo!
 
Bonge la Kipaji linapotea hapa Jamani ! Ungekuwa mbali sana Brother
 
Hamna kitu kibaya kama mind ya mwanadamu. Kila unachoimagine kinaongezewa uhalisia na kuanza kukiamini. Umemkariri kijana wa watu kuwa ni mvuta bangi basi akili yako yote, judgment zako zote, fikra zako zote na mawazo yako yote utamuona katika image mbaya uliyoikariri. I wish tungekuwa hatuishi kwa judgement. Its his life.
 
nyie mnamwta mchafu? kashatoka na wema,jokate,wolper,na nani yule yule demu aaah.....yule mpok alsema kapga jek .....et had maimartha kapga ....eeeh
 
Alaumiwe demu/mke wake..ingebidi ambadilishe uvaaji siyo anamchuna tuuu..afu jamaa linakua chafu
 
Ukiwa haunyoi ndevu lazima uonekane mchafu
 
Back
Top Bottom