Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Kuna addiction flani ukishiingia katika betting inakushikilia na haitakuachia hivi hivi no matter we ni tajiri kiasi gani.
Recently wacheza mpira maarufu wameanza kupigwa suspension ndefu kutokana na wao kujihusisha na betting. Mtu anaweza kuchomesha team ili tu apige kibunda.
Vijana mtaani wanashindia betting, wachache sana wanafaidika kiasi wengi wamekuwa mizigo.
Anyway, jifunze kujicontrol katika betting, usiweke maisha yako pale, ile sio investment ile ni "kama nikipata"