Shosti najua hili sio jukwaa letu lakini inabidi nikuulize eti na ujanja wako wote ulivalishwa shanga kwenye ile safari ?
We una majungu!?? Mwenyewe nilimvisha shanga kulingana na mvuto wa kiuno chake hebu kaa mbali cc tule zabibu zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shosti najua hili sio jukwaa letu lakini inabidi nikuulize eti na ujanja wako wote ulivalishwa shanga kwenye ile safari ?
ndugu zangu watz hebu tuache unafiki. toka lini mtu akalima na jaketi? tena jaketi safii halin ahata vumbi?...tunafanya maigizo au ni nini?tusisumbuane akili hapa jamani...
Hii itakuwa Kazuramimba kule Kigoma nini? Naikumbuka hiyo miwa mitamu halafu lainiiii.... Inaitwa bungara kwa wenyeji wa Kigoma. Na pembeni muhogo aina ya nderera! Teh teh teh! Watani wangu wa Kigoma mpo!?