mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Watu wengi humu wanalaumu kwa msukumo wa hisia zao na chuki zao dhidi ya bondia fulani...hawajui BOXING ni kitu gani??..hawajui hook ni kitu gani ?? Hawajui point zinahesabiwa vipi na kwa kigezo kipi.....hawajui kwanini PACMAN anatumia sana jab....hawajui kuwa defence skills ni moja ya nguzo muhimu kwa bondia.....hawajui kuwa si kila konde analorusha bondia basi huesadiwa point.....kwa kifupi hawajui lolote kuhusu BOXING...Chuki zimetawala vifua vyao mpaka wamepoteza uwezo wao wa kuchanganua mambo.....najua kinachowauma wengi ni show off za Mayweather na mabulungutu ya fedha..huku wao wakiwa hawana mbele wala nyuma......ninachotaka kuwakumbusha ni kuwa HARD WORK PAY.....
Mimi team paq lakini ninachojua Ktk mchezo wa ngumi mwisho wa siku mwenye maamuzi ya mwisho ni majaji tu.
Hakuna akatayeweza badilisha matokeo ya mchezo ule.
Alichokifanya myweather ni kupiga ngumi za point na kutomsogelea sana mpinzani wake yeye alitaka ushindi tu.
Kwa hyo lazima tukubaliane na matokeo