Kweli duniani hamna haki

Kweli duniani hamna haki

Watu wengi humu wanalaumu kwa msukumo wa hisia zao na chuki zao dhidi ya bondia fulani...hawajui BOXING ni kitu gani??..hawajui hook ni kitu gani ?? Hawajui point zinahesabiwa vipi na kwa kigezo kipi.....hawajui kwanini PACMAN anatumia sana jab....hawajui kuwa defence skills ni moja ya nguzo muhimu kwa bondia.....hawajui kuwa si kila konde analorusha bondia basi huesadiwa point.....kwa kifupi hawajui lolote kuhusu BOXING...Chuki zimetawala vifua vyao mpaka wamepoteza uwezo wao wa kuchanganua mambo.....najua kinachowauma wengi ni show off za Mayweather na mabulungutu ya fedha..huku wao wakiwa hawana mbele wala nyuma......ninachotaka kuwakumbusha ni kuwa HARD WORK PAY.....

Mimi team paq lakini ninachojua Ktk mchezo wa ngumi mwisho wa siku mwenye maamuzi ya mwisho ni majaji tu.
Hakuna akatayeweza badilisha matokeo ya mchezo ule.
Alichokifanya myweather ni kupiga ngumi za point na kutomsogelea sana mpinzani wake yeye alitaka ushindi tu.
Kwa hyo lazima tukubaliane na matokeo
 
Syo kla kitu lazma uweprofessional nacho ndo ukijue kwani wanaoangali mpira wote wanajua kuucheza lakn mwamumizi anaweza akapendelea kla mtu akajua hata wale wasiojua Mpira ndivyo hvyo klichotokea kwa mywether.hyo kabebwa na mbeleko mm syo mshabiki wa pande yeyote na huwa singaliagia ndondi but leo nmekuwa interested kuangalia maana imevuma sna lakn kweli wamependelea wazi wazi haina kificho mpaka majaji nao wanacheza kamari haki utapata wapi mphilipino?
 
yes naeza nkasema sjui sheria za ngum kama hao wanaojua humu ndan?? but if its all about winning why his fellow americans who majorty they were there at the match boooo aftre the declaration of flyods winning does it mean hata wao hawajui au hizo sheria yangu ni hayo

all in all wa kushinda ameshinda
 
Watu wengi humu wanalaumu kwa msukumo wa hisia zao na chuki zao dhidi ya bondia fulani...hawajui BOXING ni kitu gani??..hawajui hook ni kitu gani ?? Hawajui point zinahesabiwa vipi na kwa kigezo kipi.....hawajui kwanini PACMAN anatumia sana jab....hawajui kuwa defence skills ni moja ya nguzo muhimu kwa bondia.....hawajui kuwa si kila konde analorusha bondia basi huesadiwa point.....kwa kifupi hawajui lolote kuhusu BOXING...Chuki zimetawala vifua vyao mpaka wamepoteza uwezo wao wa kuchanganua mambo.....najua kinachowauma wengi ni show off za Mayweather na mabulungutu ya fedha..huku wao wakiwa hawana mbele wala nyuma......ninachotaka kuwakumbusha ni kuwa HARD WORK PAY.....

Mwambie basi akuoe kama ww unashobokea mabulunguti na show off.Wengine tunaona hakustaili kupewa ushindi,hata baada ya kengele ya mwisho yy alijitangaza mshindi kabla ya maamuzi ya majaji.Kwa ufupi pambano lilikuwa limepangwa na mshindi alikuwa anafahamika kama ulivyoona.Karibu watu wote ukumbini wamemzoea.Wacheza kamari wa Las Vegas wamefanya yao
 
Mpaka sasa hivi najiuliza na sipati jibu inakuwaje mywether kapigwa round zote kumi na mbili lakn atawazwe kuwa mshind na man pacquio aliyeweza kumudu na kumkimbiza mywether round zote kushindwa mpaka sasa sijajua vigezo na sababu ya kutokea hvyo.

Nachoona pale ni kama mshindi alishaandaliwa.

Mcheza kwao katunzwa!
 
Wakuu mimi siku zote kwenye hizi ndondi huwa nafurahia sana mapambano ya utangulizi kuliko pambano lenyewe.

Mfano leo yule Mu-Ukrine alivyompeleka puta M-Brazil na kale kajamaa ka Argentina kalivyompelela puta Mmexco.

May pamoja na Pac naona walikuwa wanaogopana labda kuumizana.

Ni mtazamo wangu

Mapambano ya utangulizi yalikuwa mazuri kama inavyosema kiongozi coz wote walikuwa wanazichapa.
Pambano kubwa Pacman ndo alionekana,mpinzani wake alikuwa anakumbatia tu na kumkimbia!
 
Mwambie basi akuoe kama ww unashobokea mabulunguti na show off.Wengine tunaona hakustaili kupewa ushindi,hata baada ya kengele ya mwisho yy alijitangaza mshindi kabla ya maamuzi ya majaji.Kwa ufupi pambano lilikuwa limepangwa na mshindi alikuwa anafahamika kama ulivyoona.Karibu watu wote ukumbini wamemzoea.Wacheza kamari wa Las Vegas wamefanya yao

Hakuna sehemu hata moja niliyokutukana mkuu...lugha chafu si sehemu ya maisha ya muungwana..
 
Back
Top Bottom