Kweli duniani wawili wawili, Nape ni kama kopi ya Mwanasiasa Profesa Mark Mwandosya

dogo anamaumivu ya ndani kupita mnavyofikiria na kwabahati mbaya hayaponi kwa fedha bali kukubali ukweli na afanye maamuzi ya kile anachokikubali
 
Nape Mwandosya,.
Mbona hiyo kawaida sana. Kwa kuwa wewe ni Mkongwe, tafuta historia ya David Mathayo. Je, Umesahau kwamba kuna kipindi wanafamilia wa Moses Nnauye waliwahi kumkana huyo kuwa si Mwanafamilia?
 
Silence is golden when you have nothing to say.
Asingeropoka kule kwa mashemeji haya mengine ya chini ya zulia tusingeyajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…