Gypsum Screw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 701
- 895
huyo ndio baba yake halaliIla sishangai hata Mimi GENTAMYCINE Watu wengi wananiambia nafanana ile mbaya na Bondia Mkongwe Mike Tyson.
Pia soma: Nape Nnauye: Nawapa pole na naomba radhi kwa kauli yangu ya ushindi nje ya boksi
Nimetoka kuiangalia Clip ya Nape akiomba Radhi kwa Kauli yake ya Goli la Mkono na nikamuona Mwandosya mtupu.