Tunapaswa kufanya kweli October la sivyo tutateseka zaidi ngwe ya pili.Katika Jiji la Mwanza Mitaa inayosifika au kuongoza kwa biashara ni Mitaa ya Liberty na Rwegasore. Kwa kawaida ikifika siku hasa ya Jumatatu Mitaa hii niliyotaja haipitiki kwa urahisi kwa sababu ya msongamano mwa watu wengi wanaotoka mikoa ya Kagera, Mara, Shinyanga hata na Tabora.
Lakini siku ya Jumatatu sikuamini macho yango hasa kwenye Mtaa wa Rwegasore. Wanunuzi wamepungua kwa kiasi kikubwa na ile mikiki mikiki ya watu kununua bidhaa imepungua sana.
Mtaani watu hawapo na wenye maduka naona ukitazama nyso zao wana huzuni sana.
Nilipomuuliza mmoja wao kumuuliza sababu ya hali kutokea akanieleza kwa kifupi tu Acha Ndugu yangu tumuachie Mungu.
Kwa kifupi kuna tatizo na wafanyabiashara wengi aidha hawana mbinu za biashara au kuna tatizo ambalo wanashindwa kulieleza kwa Serikali.
Amessma leo yeye mwenyewe mshahara wake haumtoshi.Kwani Magu amesemaje?
Hahaha... Kama hadi rais analalamika kutakuwa na shida mahali.Amessma leo yeye mwenyewe mshahara wake haumtoshi.
dodge
Hahah fikiria wanyonge ndio watakua na hali gani mkuu.Hahaha... Kama hadi rais analalamika kutakuwa na shida mahali.
Tunategemea aje na solutions sio na yeye kulialia kama raia wa kawaida.Hahah fikiria wanyonge ndio watakua na hali gani mkuu.
dodge
Hahaha... Kama hadi rais analalamika kutakuwa na shida mahali.
Inabidi tumuulize 🙂🙂Siyo kutakuwa na shida tu,ila ni shida tayari,kwa kauli yake hiyo ni kuwa HATOSHEKI, sasa si hatari kumkabidhi hazina mtu asiyetosheka? Yeye si alituambia tutosheke na mishahara yetu? Inakuwaje yeye hatosheki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila siku siku sio nyingi hii bendera wataweka hata dot la rangi wekundu wa msimbazi!!!!!Hahaha eti tumuachie mungu [emoji23] watanzania nyie ni waoga san ndo maana bendera yenu haina rangi nyekundu.
Sent using Jamii Forums mobile app