nilichoskia leo sikutarajia sijui ni njaa au nini?!
au watu wanajibana kwenda haja wasisikie njaa!wapige ndefu hadi jioni.
daahh jamaa analalamika toka asubuhi hadi jion anapata buku au buku 2 na ni stendi yenye mishemishe balaa ambapo mwanzo hata 50000 alikuw anapata