Kweli hali ni mbaya, majirani wamenichinjia baharini

zwenge ndaba

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
2,037
Reaction score
3,598
Tuna mazoea kila sikukuu kupelekeana chakula .ikiwa ya upande wa dini yangu basi lazima hotpot ziende kwa jirani wa kaskazini na nyingine kusini.sasa Leo nimesubiria kwa hamu nikajua lazima hotpot zitakuja nifaidi kwa hiyo mchana sikuhangaika kabisa na chakula
Kila nikiskia mlango unagongwa nawahi kwa bashasha ila kutoka nje hakuna msosi uliokuja.nimetumia mbinu kibao lakini wapi.nikasema labda wamenisahau ,nikamtuma dogo nikijidai nawapa taarifa za Kenya uchaguzi kurudiwa ili tu wanikumbuke.mbinu hiyo pia ikagonga mwamba.uzalendo ukanishinda mida ya sa kumi ikabidi nijipitishe labda watanikumbuka.pia hiyo nayo imegonga mwamba.sasa kama wamefuta mkataba kwa nini wasingeniambia .Dah mtaani kweli hali mbaya .Baba J legeza kidogo baba
 
Pambana na hali yako tu mkuu! Labda jirani vyuma vimekaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kiukwel ilibid niingie jikon nikapika ugali dagaa, maana nimekaa kibarazan jirani wakipita ni Salam tu (eid-Mubarak) na kuishia kupewa mkono, kufika sa tisa ndo nkajiongeza kupika

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ikifika zamu yako na wewe utauchuna maana hali si hali mtaan.
 
Back
Top Bottom