zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,039
- 3,613
Pambana na hali yako tu mkuu! Labda jirani vyuma vimekaza.Tuna mazoea kila sikukuu kupelekeana chakula .ikiwa ya upande wa dini yangu basi lazima hotpot ziende kwa jirani wa kaskazini na nyingine kusini.sasa Leo nimesubiria kwa hamu nikajua lazima hotpot zitakuja nifaidi kwa hiyo mchana sikuhangaika kabisa na chakula
Kila nikiskia mlango unagongwa nawahi kwa bashasha ila kutoka nje hakuna msosi uliokuja.nimetumia mbinu kibao lakini wapi.nikasema labda wamenisahau ,nikamtuma dogo nikijidai nawapa taarifa za Kenya uchaguzi kurudiwa ili tu wanikumbuke.mbinu hiyo pia ikagonga mwamba.uzalendo ukanishinda mida ya sa kumi ikabidi nijipitishe labda watanikumbuka.pia hiyo nayo imegonga mwamba.sasa kama wamefuta mkataba kwa nini wasingeniambia .Dah mtaani kweli hali mbaya .Baba J legeza kidogo baba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ikifika zamu yako na wewe utauchuna maana hali si hali mtaan.Mimi kiukwel ilibid niingie jikon nikapika ugali dagaa, maana nimekaa kibarazan jirani wakipita ni Salam tu (eid-Mubarak) na kuishia kupewa mkono, kufika sa tisa ndo nkajiongeza kupika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahha pole sana Mkuu.wamesababisha umekula mpakani Leo.Kati Kati ya mchana na jioniMimi kiukwel ilibid niingie jikon nikapika ugali dagaa, maana nimekaa kibarazan jirani wakipita ni Salam tu (eid-Mubarak) na kuishia kupewa mkono, kufika sa tisa ndo nkajiongeza kupika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha kweli Mkuu hakuna namna .wataisoma kuvunja mkataba kimya kimya kama kwenye bomba dia
Ha ha ha haaaaHahha pole sana Mkuu.wamesababisha umekula mpakani Leo.Kati Kati ya mchana na jioni
Dah .noma sanakila kona vyuma vimekazwa hotpot nyeupe mtaani
Dah .noma sanakila kona vyuma vimekazwa hotpot nyeupe mtaani
Asante Mkuu.wamenisomesha namba
Hahhaa hakuna namna nikupambana na hali zetuunaweza fikiri utani kumbe kweli, hii imetokea hata huku nilipo, hapa inabidi nitafute supu nipige nyagi nilale
Hahah hongera Mkuu kwa kuufinyaMimi wameniletea bana daah wange kaza ningefungulia mziki adi asubuhi
Sent using Jamii Forums mobile app