Kweli HELSB inakusanya pesa za mkopo kupitia TRA kwa wanufaika waliojiajiri?

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
407
Reaction score
178
Kichwa cha habari kinajieleza.

Ni kweli Bodi ya mikopo elimu ya juu inakusanya mikopo Kwa wanufaika kupitia TRA ambao wamejiari.

Maana tetesi zilipo ukienda kujisajili na kufungua TIN ya biashara TRA. Kuna gharama wanaongeza ambazo ni za HELSB.

Je, hizi tetesi ni kweli.?
 
Je hizi tetesi ni kweli.?
Lipa mkopo wao ndugu yangu,utabaki kuwa mtumwa,utakimbia hadi lini?
 
Kichwa cha habari kinajieleza.
Ni kweli Bodi ya mikopo elimu ya juu inakusanya mikopo Kwa wanufaika kupitia TRA ambao wamejiari.
Maana tetesi zilipo ukienda kujisajili na kufungua TIN ya biashara TRA. Kuna gharama wanaongeza ambazo ni za HELSB.
Je hizi tetesi ni kweli.?
Kwani shida iko wapi wakifanya hivyo?? Lipa DENI na wengine pia wapate fursa ya kunufaika na mkopo huo kama ilivyokuwa kwako.
 
Kichwa cha habari kinajieleza.

Ni kweli Bodi ya mikopo elimu ya juu inakusanya mikopo Kwa wanufaika kupitia TRA ambao wamejiari.

Maana tetesi zilipo ukienda kujisajili na kufungua TIN ya biashara TRA. Kuna gharama wanaongeza ambazo ni za HELSB.

Je, hizi tetesi ni kweli.?
Mamlaka ya M,apata Tanzania inakusanya kodi kwa mujibu wa sheria ilizopewa kusimamia.Kuhusu swali tajwa juu mpaka sasa anayesimamia ni HESLB na mwajiri anawajibika pamoja na mwajiri wake aliyewahi kukopa HESLB
 
Back
Top Bottom