BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Chezeya Serikali ya DHAIFU weye!!! Hata kuchakachua matokeo pia ni kazi nzito kwao!!!! Wamechakachua baadhi tu wakaona kazi ni ndefu sana wakaamua kubwaga manyanga wengine sasa wamekupita weye umebaki pale pale!!!! Nina hakika wengi watakuwa na tatizo kama la kwako.
Wakuu jf mi ni mojawapo ya wanafunzi waliofaulu kwenda form v 2013 kabla ya matokeo kufutwa lakin cha kushangaza matokeo yangu hayajabadilika wakati kuna watu walokuwa na iv za 28 na 27 lakini wamepanda hadi 25 na 24 alafu mimi nimebaki palepale 25 inakuwaje siamini au wamekosea nini?
Mawazo wakuu hapo ndo sijawaelewa necta kabisaaaaa