Kweli hii ndo necta dah..... Siamini!!!!

Chezeya Serikali ya DHAIFU weye!!! Hata kuchakachua matokeo pia ni kazi nzito kwao!!!! Wamechakachua baadhi tu wakaona kazi ni ndefu sana wakaamua kubwaga manyanga wengine sasa wamekupita weye umebaki pale pale!!!! Nina hakika wengi watakuwa na tatizo kama la kwako.

 
Kweli wamekosea, ilibidi matokeo mapya upate Div V ndio ingeleta maana nzuri ya neno KUBADILI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…