jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,603
- 3,776
mmmh sasa sijui unyofoe macho ili usiwe unauona?........
Nenda kwa watumishi wa Mungu wakuombee pepo baya la ngono likutoke.
kweli mmu kuna ushauri.haya bwana nashukuru.
Biblia inasema, if your eyes cause you to sin, cast them out.
Sasa bwana sijui utaenda kwa fundi gereji.... hapo utajipanga.
You can't fool me by saying every black wuman walks before you unavutiwa nae. Wengine hawana maumbo mazuri, wengine hawana sura nzuri, wengine wamekosa vyote ingawa ni weusi. Nenda kwa psychologist utapata msaada wa tatiz6 lako mkuu.
acha kujiendekeza,ikatae hiyo hali kutoka moyoni mwako ama sivyo itakusumbua sana.
kama umeshindwa kabisa ukaombewe hilo pepo likutoke.
kumbe kupenda ni pepo!!!haya mtumishi.
acha kujiendekeza,ikatae hiyo hali kutoka moyoni mwako ama sivyo itakusumbua sana.
kama umeshindwa kabisa ukaombewe hilo pepo likutoke.
onaona jinsi mawazo yako yalivyo...yaani umeing'ang'ania hiyo hali na umeridhika nayo ndo maana unapata shida.sasa nikienda huko kanisan si nitakutana nao wengine ndo nichanganyikiwe zaidi?
kwani we huna dini au?niende kanisa gani?
onaona jinsi mawazo yako yalivyo...yaani umeing'ang'ania hiyo hali na umeridhika nayo ndo maana unapata shida.
kwani we huna dini au?