jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,603
- 3,776
wakuu niliwahi kuja na maada ya kuhusu wanawake weusi jinsi walivyo wazuri. Sasa kuna tatizo nilosahau kuwashilikisha.tatizo lenyewe ni muda wowote ni kikutana na mwanamke mweusi nachanganyikiwa kiasi hata nguvu zinaniishia hata naweza nikaacha kazi nilokua nafanya kwa muda.
Sasa wakuu nifanyeje hii hali angalau ipungue hata kidogo maana nahisi nitakua kichaa kwa hawa viumbe weusi.
Nahitaji ushauri wenu pls.
Sasa wakuu nifanyeje hii hali angalau ipungue hata kidogo maana nahisi nitakua kichaa kwa hawa viumbe weusi.
Nahitaji ushauri wenu pls.