Kweli huyu dada alitaka kunitanguliza mbinguni

Masikini🥹, kwahiyo uko wapi.....
 
😄😄😄ila dahh! naimagine upo maji halafu umepigwa na mchuchumio kichwani mbaya zaidi hadharani🙌. Bai ze wei suluhusheni muendelee kuishi pamoja tu Mkuu.
We acha tu, mabaunsa ndio waliokoa jahazi ila na yeye alipewa kipigo na wanawake waliokuwepo. Ila walinisahuri mambo ya mahusiano mtayamaliza wenyewe.​
 
Kijana mpumbavu.
 
Kwamba wewe umemfinya mkononi,yeye kakutwanga kichwani na kiatu.
Huyo sio mke ni malaya kama malaya wa buguruni.
 
Kumbe mlikuwa mmelewa?
Hayo ni matokeo ya ulevi! Kama ni mkeo na mlifunga naye ndoa hapo usimpige na wala usimuache!
Lakini kama ni hawala au mchepuko ni hiari yako kukaa naye au kumwacha aende zake!
Aise huyo ni mkurya nini?
Ni mchepuko mkuu, anasema ata tukiachana malezi ni muhimu kwa kiumbe alichonacho; mbaya zaidi anajua kudai haki mpaka mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…