Kweli huyu dada alitaka kunitanguliza mbinguni

Mjomba niamini mimi kwanza kuna mambo huyo demu anayo

1. Kutoka nje na kukaa sana, alikuwa anafanya nn, alikuwa anaongea na nani akiomba ushauri? Kama ilikuwa atoke nje hasira zipoe mbona alirudi mbogo zaidi, waza hilo kwa kina.

2. Kurudi na kuanza kukupiga na kiatu kichwani, amini ipo siku utalala mazima au kuharibiwa kiungo na huyo demu, inaonekana akilewa hanaga ufahamu, atajakata ivo vinyanya mshenzi, kiufupi mwanamke anayekunywa pombe wengi wao ni kuwa nao makini. Usimsahau kanumba kifo chake kirahisi hivo, stuka mkuu

3. Yani anataka muachane ila uwe unalea kizaigoti, aisee hapo inawezekana kizaigoti kina mwenyewe ila vile kakuona soro anakupachikia tu, na inawezekana mwenye kizaigoti ndio alimpa ushauri akukite kichwani mpaka betri ichomoke manake inaonekana wewe king'ang'anizi.

4. Ushauri tu, umesema kwenye shoo yupo vizuri, mkuu acha kuangalia pornographic materials, lengo la ke/me ni kuzaliana tu na sio hii mizagamuano, yani hata ukiweka tu ndani wazungu wakitoka mtoto akipatikana inatosha. Hakuna sehemu ktk maandiko yanasema mkazagamuane kwa styles, chunga kichwa kidogo kisitese kichwa kikubwa.
 
Kuna pointi za kujifunza hapa
 
unaitamka mbinguni kirahisrahisi sana. Kama hujaokoka sahau mbingu. kuzimu inakuhusu.


JESUS IS LORD &SAVIOR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…