Kweli Inashangaza sana

loyan20

Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
29
Reaction score
18
Inanishangaza sana pale serikali inapokosa pesa z kuwasomesha elimu ya juu watoto wa masikini,wakati huo huo ikiwa na pesa za kumlipa kila mjumbe wa BMK Tsh 300,000 kwa siku pia kumgharamia kila mujibu wa sheria kwa kila kitu ili aende JKT hhhhm!inasikitisha sana ila najua chozi la mnyonge halidondoki bure!Mungu yupo!
 
ndo serikali 2liyoichagua ya maisha bora kwa kila mtanzania!!!!!.lakn mwakan sera ya nadhan itakuwa maisha bora kwa kila tajiri.2badilike jaman!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…