loyan20
Member
- Oct 16, 2014
- 29
- 18
Inanishangaza sana pale serikali inapokosa pesa z kuwasomesha elimu ya juu watoto wa masikini,wakati huo huo ikiwa na pesa za kumlipa kila mjumbe wa BMK Tsh 300,000 kwa siku pia kumgharamia kila mujibu wa sheria kwa kila kitu ili aende JKT hhhhm!inasikitisha sana ila najua chozi la mnyonge halidondoki bure!Mungu yupo!