Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Muda mrefu nilikuwa sijaangalia TV, ila wiki hii nimeanza kuangalia, imecheki ITV siku kadhaa na hivi sasa naangalia mjadala wa bajeti.
Nilichogundua kuna mabadiliko makubwa sana kwa ITV ya sasa na ya miaka ile, yaani hata hawa wachambuzi wanaoitwa kuja kuchambua bajeti wote ni kumsifu tu Rais, hakuna critical analysis yoyote.
Niliangakia pia Star Tv nikaona mabadiliko makubwa, hawa kwenye mijadala yao wanaita watu wa pande zote, wanaoikosoa Serikali pia wanaita wanaoisifia, wanajitajihidi ku balance, tofauti na miaka ile.
Dada Regina hataki ugomvi!