Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
ha ha ha sawa mkuuPesa ndo kila kitu.
Hapo ulipo ungekuwa huna pesa wala usingewaza mwanamke, tafuta pesa mkuu.
Mkuu mchanganyiko wa Kvant na enegy drink sio mzuri hali kama hiyo lazima ikutokee..... I bet unapoendelea wote utawsona waremboNipo hapa ugenini naona masaa hayaendi kabisa. Naona kinywaji kichungu, naangalia kulia, kushoto,mbele, nyuma sioni kifaa matata. Na baridi hii kujikunja mwenyewe ni kutokuitendea haki uumbaji wa muumba.
Najaribu kuwapigia makoloni yangu ya zamani angalau wanipe maneno matamu ya kunifariji...hawapatikani. Kweli katika hii dunia,mwanaume bila mwanamke hajakamilika.
ha ha ha kweli mkuuUnamis kile ambacho huna.
ha ha ha hilo ni janga la duniaMkuu Corona vipi hata haiwazii Ama ndo unaishi kwenye ule msemo wetu wa kishujaa kuwa "Mbongo kufa kisa mafua na kikohozi Ni uzembe wa kiwango Cha SGR".
Nakutakia tamaa njemaa mkuu.
hawana chura mkuu
ha ha ha ngoja nipunguze mkuuMkuu mchanganyiko wa Kvant na enegy drink sio mzuri hali kama hiyo lazima ikutokee..... I bet unapoendelea wote utawsona warembo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatuangusha mjomba.hawana chura mkuu