Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 688
Hivi kwanini tusidumishe kiswahili kwa kila kitu?
toka mtoto nasikia hili suala nahisi mpaka ntakufa itakuwa hivi hivi.
mkuu kuna nchi ambazo zinaendeleza lugha zao za asili na kudumisha utamaduni wao,halafu wanaonekana wamepiga hatua na kutambulika kimataifa kwa kuonyesha utamaduni wao,ila hapa kwetu kutumia kingereza inaonekana kama ndo maendeleo
Habari ya gudmoni'g na my pen for me.