Kweli kila mtu na bahati yake jamaa anajenga kupitia betting

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Kuna jamaa huku kitaa kila wiki hakosi kula laki 3 mpaka 5 jamaa kwa masihara ameanza ujenzi kupitia hiyo pesa huwezi amini sasahivi anapauwa siku moja nlijaribu kuomba mkeka wake wa kilo 2 namm nikala inayofuata holaa Inayofuata tena hola
 
acha kutembelea nyota ya mwenzio
 
Kuna jamaa huku kitaa kila wiki hakosi kula laki 3 mpaka 5 jamaa kwa masihara ameanza ujenzi kupitia hiyo pesa huwezi amini sasahivi anapauwa siku moja nlijaribu kuomba mkeka wake wa kilo 2 namm nikala inayofuata holaa Inayofuata tena hola
Mkuu muulize vizuri anatumia mbinu gan
 
Kuna moja rafiki yangu alipata mil 6 akanunua kigari.
Watu na zali zao.
 
mwaka juzi nilikula mil 12
Baada ya hapo sijawahi kushinda tena kila siku nikawa naliwa,nikaamua kuacha kubet football..sasa hivi nakula pesa kupitia basketball betting ni nafuu mara mia ya football.
2006 kipindi nipo chuo betting ilinisaidia sana pale new african htel
 
Subiri siku akiuza kiwanja na boma ili apate hela ya kubetia,hapo ndipo utajua gambling ni sawa na uteja.
 
mwaka juzi nilikula mil 12
Baada ya hapo sijawahi kushinda tena kila siku nikawa naliwa,nikaamua kuacha kubet football..sasa hivi nakula pesa kupitia basketball betting ni nafuu mara mia ya football.
2006 kipindi nipo chuo betting ilinisaidia sana pale new african htel
Mkuu, Nipe maujanja ya hii basketball betting
 
Back
Top Bottom