Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha kutembelea nyota ya mwenzioKuna jamaa huku kitaa kila wiki hakosi kula laki 3 mpaka 5 jamaa kwa masihara ameanza ujenzi kupitia hiyo pesa huwezi amini sasahivi anapauwa siku moja nlijaribu kuomba mkeka wake wa kilo 2 namm nikala inayofuata holaa Inayofuata tena hola
Mkuu muulize vizuri anatumia mbinu ganKuna jamaa huku kitaa kila wiki hakosi kula laki 3 mpaka 5 jamaa kwa masihara ameanza ujenzi kupitia hiyo pesa huwezi amini sasahivi anapauwa siku moja nlijaribu kuomba mkeka wake wa kilo 2 namm nikala inayofuata holaa Inayofuata tena hola
Acha kufananisha ngada na vitu vya kijingaMbona kuna watu wamejenga kupitia ngada au hoja yako hasa ni nini mkuu?
Ntakutafuta.[emoji106] [emoji106] [emoji106]Na gunia saafi 200 za mkaa hapa kibiti njoo nikuuzie
Mkuu, Nipe maujanja ya hii basketball bettingmwaka juzi nilikula mil 12
Baada ya hapo sijawahi kushinda tena kila siku nikawa naliwa,nikaamua kuacha kubet football..sasa hivi nakula pesa kupitia basketball betting ni nafuu mara mia ya football.
2006 kipindi nipo chuo betting ilinisaidia sana pale new african htel