Kweli kila nabii na wakati wake

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Alie sema huu msemo hakukosea. Hasa ukimuangalia wema sepetu. Mimi wema sepetu nimeanza kumsikia sanaa 2015 sababu ndio mwaka nilianza kua active na social media.

Kipindi hicho alikua ashikiki ukimchokoza tu fans wake wanakutukana mpaka utajuta. Fans wake walikua wana matusi sana alikua na fan base kubwa sana ila mimi sikuwahi kuwa fan yake sababu sipendi watu wenye wako na mamwili mkubwa walio vimba vimba lakini kuna watu walimpenda sana.

Lakini ukiangalia sasa hana ushawishi kama zaman fans wake wengi wamemkimbia wengi wanasema hana akili ya maisha ana miaka mingi ya kuwa maarufu lakini ameshindwa kutumia umaarufu wake kutengeneza pesa alilewa sifa za mitandaoni akasahau kuna maisha nje ya mtandao.

Leo hii wema sepetu amepitwa fan base na hamisa mobetto. Hamisa ana fan base kubwa na strong kwa sasa ukilinganisha na wema. Pia hamisa ameweza kutambua hilo na anatumia vizuri fan base yake. Amefungua duka lake halina hata mwaka lakini limekuwa homa ya mji na baadhi ya kampuni wameliona hili na kumpa dili mbali mbali.

Sasa ukiingia page ya wema ukisoma comments anaambulia matusi tu yani leo hii wema amekuwa kama mtoto wa kambo kila mtu anam eza anamuona alichezea maisha yke vibaya. tofauti na hamisa comments nyingi wanampa moyo na kuonesha mapenzi ya dhati walikuwa nayo kwa hamisa.

Huyu hamisa nae ana upungufu wake kwa Diamond lakini kama akiamua kukaa mbali na drama za Diamond atajipatia point ya muhimu sana ambayo itazidi kufanya maisha yake yawe bright lakini na yeye sidhani kama ataweza limudu hili anaonekana ni dhaifu kwa diamond kama vile mwanaume ni diamond tu.

Kwa upande wa wema anaonekana ana majuto lakini atafanya nini amechezea mwenyewe maisha yake anajikaza tu na anaonekana kabisa ugonjwa wa stress unamsumbua .

Btw kuna kitu sana cha kujifunza katika hili mtu unatakiwa uishi kuendana na muda na kuzitumia vizuri chances zinazotokea maishani bila kujali umri bahati haikuji mara mbili na ikishaondoka imeondoka.
 
Weka picha mkuu japo nimekaa siti 3 nitaelewa unachozungumzia
 
Sitoagi comment kwenye mada za kipumbavu kama hizi
 
Kwa iyoo sis tufanyeje??????????????????????????????????
 
Vyuma vimekaza sana, hali imekuwa ngumu, leo asubuhi jirani yangu mmoja analazimisha aniuzie paka. Mimi nimemwambia sihitaji paka, kwanza nyumbani kwangu hakuna panya, akanieleza kwamba angeniletea na panya jioni hii.
Magu please, legeza kidogo!
 
Kama akili zenu ni kujadili watu badala ya ujasiriamali nawaonea huruma wanasiasa wanaohamashisha matakataka kama ninyi ambao hamtaki kufanya kazi.
 
Kama akili zenu ni kujadili watu badala ya ujasiriamali nawaonea huruma wanasiasa wanaohamashisha matakataka kama ninyi ambao hamtaki kufanya kazi.
Wewe unaejadili ujasiri mali 24/7 na mimi naejadli ushuzi 24/7 nina maisha na future nzuri kuliko wewe unaejiona una akili kumbe hata ushuzi wa kuku una thamani kuliko maisha yko πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sitoagi comment kwenye mada za kipumbavu kama hizi
Sasa hiki ulio andika ni nini kama sio comment πŸ™„ wewe ni mpumbavu na hakuna aliewahi kuwa mpumbavu kama wewe tangu hii Dunia ianze πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…