Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Sawa mkuu asante ubarikiweKama huwajui sio lazima uwajue. Endelea na mambo unayoyajua.
Jukwaa La celebrity wewe mjasiriamali hapa umefata nini!!?[emoji41][emoji41][emoji41]Kama akili zenu ni kujadili watu badala ya ujasiriamali nawaonea huruma wanasiasa wanaohamashisha matakataka kama ninyi ambao hamtaki kufanya kazi.
Panulia miguu diamond you became a celebrity!!!![emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Wanajifanya wanafahamu kila kitu matokeo yke wanakuwa vituko. celebrities forum anataka watu wajadili ujasiria mali kama si utaahira ni nini?
Tathmini yangu ni kwamba wema alipata fans wengi(waliongezeka)alipohamia chadema.Wema ni NYUMBU - Mange Kimambi.
hahahaaVyuma vimekaza sana, hali imekuwa ngumu, leo asubuhi jirani yangu mmoja analazimisha aniuzie paka. Mimi nimemwambia sihitaji paka, kwanza nyumbani kwangu hakuna panya, akanieleza kwamba angeniletea na panya jioni hii.
Magu please, legeza kidogo!
Bora hata utahira una nafuu, ule ni uzezetaWanajifanya wanafahamu kila kitu matokeo yke wanakuwa vituko. celebrities forum anataka watu wajadili ujasiria mali kama si utaahira ni nini?
Hii nayo ni comment , nawewe ni mpumbavuSitoagi comment kwenye mada za kipumbavu kama hizi
Upo sahihi kabisa.Tathmini yangu ni kwamba wema alipata fans wengi(waliongezeka)alipohamia chadema.
Kitendo cha kurudi kwa ccm na hasa kujiweka karibu na mkuu wa mkoa anayechukiwa na wengi basi kimempa advantage hamisa japo naamini hata hamisa hapendwi kihivyo ila yanafanyika kama kumkomoa wema.
King Kong III if I'm wrong I accept correction
Hii nayo ni comment , nawewe ni mpumbavu
nimekuelewa mzee mwenzanguAhaaaa.
Nadhani wangu hauzid wako
Umelazimishwa kukoment? Watu type yako mnashangaza sanaUzi umekaa kimbea, sijakomenti kiu
Umelazimishwa kukoment? Watu type yako mnashangaza sana