Kweli kila nabii na wakati wake

Kweli kila nabii na wakati wake

Wema ni NYUMBU - Mange Kimambi.
Tathmini yangu ni kwamba wema alipata fans wengi(waliongezeka)alipohamia chadema.

Kitendo cha kurudi kwa ccm na hasa kujiweka karibu na mkuu wa mkoa anayechukiwa na wengi basi kimempa advantage hamisa japo naamini hata hamisa hapendwi kihivyo ila yanafanyika kama kumkomoa wema.

King Kong III if I'm wrong I accept correction
 
Vyuma vimekaza sana, hali imekuwa ngumu, leo asubuhi jirani yangu mmoja analazimisha aniuzie paka. Mimi nimemwambia sihitaji paka, kwanza nyumbani kwangu hakuna panya, akanieleza kwamba angeniletea na panya jioni hii.
Magu please, legeza kidogo!
hahahaa
 
Tathmini yangu ni kwamba wema alipata fans wengi(waliongezeka)alipohamia chadema.

Kitendo cha kurudi kwa ccm na hasa kujiweka karibu na mkuu wa mkoa anayechukiwa na wengi basi kimempa advantage hamisa japo naamini hata hamisa hapendwi kihivyo ila yanafanyika kama kumkomoa wema.

King Kong III if I'm wrong I accept correction
Upo sahihi kabisa.
 
Hamisa lazima awe na akili ya ziada yeye ndio anamlisha mama yake pua anawatoto lazima ajitume maana mwanaume ukishazaa mtoto ni mzigo wako mwanamke hapo nampa kudoz hamisa
Wema aamke hajachelewa mana sidhani kashafikisha miaka 35 watu wanatajirika na miaka 50 sembuse yeye tena sasa hivi ndio muda wa kujituma wale mashabiki wa kiswazi walikuwa wanahela ya bando na sio kusupport lipstick amka tafuta wasomi wenye idea ingia nao partnership acha mashauzi kujiona expensive utavuna sana angali wa nigeria kina genevive rita dominic na ini edo wale ndio role model walikuwa na life la chini sahivi ni matajiri wakutosha
 
Umelazimishwa kukoment? Watu type yako mnashangaza sana

Mkuu kama uliambiwa utakutana na watu mbalimbali...basi nikupe taarifa kuwa sisi ndio hao watu mbalimbali

Endelea KUTUSHANGAA mkuu, Yajayo yanashangaza zaidi
 
Back
Top Bottom