Kweli Kingereza kilikuja na Meli...Huyu mrembo anavunja dictionary

Kweli Kingereza kilikuja na Meli...Huyu mrembo anavunja dictionary

an simply i decided to happy again, duuh, sawa buana ebu ngoja niende hapo toileti paper kwanza.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] jpm tu kina mshinda huyo hawezi kukiwezakwa kushinda facebook na instagram
 
Hivi tatizo ni yeye aliyekosea au ni sisi tunaomcheka kwa kukosea kiingereza?

Mbona lugha zengine zikikosewa haiwi jambo kubwa hivi?
 
Tatizo wengi nimegundua wanajifunza kwa mkato wa maneno sana wanapowasiliana haswa mitandaoni, hivyo inaishia kwamba kuandika sentensi hawaoni kuwa wamekosea. swahili nayo ngumu nasepa
 
Mtu kama hii lugha haipandi bora kukaa tu kimya.Watu wanahangaika na wenyewe waonekana vidato vimepanda matokeo yake ni kujiaibisha!!Yaani hapa ni full "kuvunja kamusi ya kimombo"View attachment 394227
Ni mambo ya smart tu mkuu, alisahau kuweka " be " in between ' to and again. (to be happy again )
 
Duuh huyo demu nimeingia kwenye profile yake nimekoma na viingereza vyake
 
You are see jealousy the girl? Her she writings the good.
 
Back
Top Bottom