mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,733
Tena naomba nikulipe kwa $Una hela ya kunilipa?
shilole ataniua changamoto anasema ni combinationwakina shilole wapo wengi kuliko kawaida
Unifundishe na mie, nikaopoe mzungu r chugga, mana rasta tayari ninazo!Sijui kingereza ila huyo anaweza kuwa mwanafunzi wangu
Umeona pana zile za sheikh Kipozeo eeeeNgoja nimfollow
Huyu ana kijua sema alikurupuka kuandika na alikuwa na hasira akasahau,.................and simply I decided to be happy again.Ni kama mwendelezo wa sentesi fulaniiiSijui kingereza ila huyo anaweza kuwa mwanafunzi wangu
Hizi lips mbona kama za Lady JD,komandoo,mke wa zamani wa Gadner?chingerezaaa!shilole njoo umuone mdogo wako
Hahaaahaa [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nimecheka sana aiseeeshilole ataniua changamoto anasema ni combination
Ni mambo ya smart tu mkuu, alisahau kuweka " be " in between ' to and again. (to be happy again )Mtu kama hii lugha haipandi bora kukaa tu kimya.Watu wanahangaika na wenyewe waonekana vidato vimepanda matokeo yake ni kujiaibisha!!Yaani hapa ni full "kuvunja kamusi ya kimombo"View attachment 394227