Kweli kipendacho roho hula nyama mbichi!

Kweli kipendacho roho hula nyama mbichi!

Deodat

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2008
Posts
1,274
Reaction score
274
Ingawa jamaa kaelemewa mpaka anakaribia ku-suffocate lakini bado kakomaa tu na mzigo ilimradi tu aonyeshe mapenzi. Halafu demu nae anachekelea tu bila kujali maumivu anayompa mwenzie.
 

Attachments

  • 10[1].jpg
    10[1].jpg
    39.8 KB · Views: 450
usifanye mchezo na LOVE ndugu yangu.
Watu wanajitoa roho kwa sababu ya hiyo kitu.
 
mbona ni kama jamaa kazidiwa uzito wa mamsapu na tayari maji yanaingia puani?
 
love is commitment,one can do anything for the sake of love
 
Haya mapenzi bwana, unaweza kufa ili kuonyesha mapenzi kwa mwenzako kama huyo jamaa!
 
"The Law Of Floatation" inaniambia kuwa yule jamaa wala asikii "uzito" zaidi ya tuchomoza kichwa aweze kuvuta hewa!
 
ii ni love ama acting love..kwa hali hii angemwambia mwenzie yamenishinda a kama mapenzi ya kweli kwa kuwa anaitaji kumchakachua na kutimiza ahadi zake amna jinsi agangamae na maji puani
 
Kwenye mapenzi, Kiwete hupakata ....... Dr. Remmy Ongala.
 
Ha ha ha duh nimeipenda. Ukifanya hivi kila weekend unaweza kuwa mbilikimo hata kama ulikuwa kama Hasheem Thabit..
 
Back
Top Bottom