Kweli kuishi na watu kuna raha yake, leo yametimia nimekutana na mwanamke tuliopotezana nae ughaibuni

Mkuu, kwani kule ughaibuni mlikaa wiki ngapi?
 
Mkitendewa ambayo mnaona mazuri, mnasema kuishi na watu raha. Mkitendewa ndivyo sivyo, utasikia "heri umfadhili mbuzi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…