Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masai Dada punguza makasiriko.Wako wengi sana, sasa kama mtu anakuambia hiyo dp world itakupa ugali ule, huyo mtu utamuelewaje kama si kumuona ni mjinga, mpuuzi na hajitambui? Hao watanzania wa hivyo wako wengi sana, kwa bora kumepambazuka waingie kwenye mishe zao. Akili hawana ni wajinga na wapumbavu wanaoburuzwa kwa kila jambo kwao sawa tu mradi wanapata mlo wao wa siku, imetoka hiyo!
Hatuwezi kuzuia hizo mambo ukiona kelele ujue washamaliza kila kitu huko Loliondo Gate tumefanya nini? Gesi tumefanya nini watu wamechukua buree miaka mingi.huoni kama ina impact kwa taifa zima. jinsi pia ilivotikisa tz