Agizachochote
Member
- Sep 29, 2020
- 34
- 464
Atakaye dai haki Ni Nani Sasa hapa..ikiwa asilimia zaidi ya 80 ya wananchi wanamuunga mkono JPM na serikali yake. Au unadhan JPM kajipigia kura mwenyewe nchi nzima...hahahah..msiwachukulie poa wananchi wa Tanzania ..upinzani una Nini huu..hakuna lolote...na nasema watanzania wataendelea kuwanyima kura Kama mtaendelea nanupinzani usiokuwa na tijaMkuu unahitaji mabadiliko ya mifumo huru huku ukiwa unagonga kashata na kahawa umerelax? vikwazo vitawatumia ujumbe watawala kuwa dunia inaona hivyo wajirekebishe na watende haki kwa wananchi, pia wananchi waoga wakichapika kisawasawa na maisha siku nyingine wakiambia daini haki yenu hakuna ataebaki ndani, kwa ujumla unafiki wa kutukuza watawala dhalimu utaisha. Hizo ndizo gharama za kudai haki.
It is Lissu against wananchi wazalendo...Sasa sijui hapo Nani atakuwa mshindi. Hakuna Cha wafilisti Wala mabeberu..Mungu ameshaibariki Tanzania zamani.tatizo la.Kuna wakati dunia inakuwa unfair kwako mpaka unaamua Kama mbwai na iwe mbwai. Kasome biblia uone alichofanya Samson. Sometimes in life the Samson option is inevitable. Mungu anaelewa na dunia itaelewa ndio maana tunafundishwa upendo na kutendeana haki. Anachofanya Lissu ni haki kabisa mlimwagia ugali (risasi16) mkamwagia mboga(mp termination) mkammwagia Tena ugali (mmemwibia kura zake na wabunge wake mmewafagia Kama kuku bungeni) mlitaka afanyaje?...
ThanksLissu mmemuumiza Sana mwili na roho mwacheni aitumie njia hiyo pengine itatutoa kwenye utumwa wa CCM just imagine eti tunatakiwa tumtukuze jpm kwa miaka mingine mitano Nani anataka ujuha huu. Ayubu ryoba alikuwa msomi mzuri enzi za mkapa Leo hii ayubu ryoba amekuwa Kama zezeta mnataka wasomi wetu wangapi waharibike kama Dr ryoba ndio mshtuke kwamba jpm anatupeleka Chaka.
JPM anampeleka Chaka wewe na familia yako mama..watanzania wapo nae mpaka kieleweke..na hawatamuacha..nyie wapiga dili tafuteni maisha mengine hata kilimo kinawafaa..nendeni mkalime Moishe familia zenu..mitandaoni humu hamtapata majibu mnayotaka..biashara za utapeli haziji Tena..chapeni kazi mwanawane..hapa kazi tuuuuLissu mmemuumiza Sana mwili na roho mwacheni aitumie njia hiyo pengine itatutoa kwenye utumwa wa CCM just imagine eti tunatakiwa tumtukuze jpm kwa miaka mingine mitano Nani anataka ujuha huu. Ayubu ryoba alikuwa msomi mzuri enzi za mkapa Leo hii ayubu ryoba amekuwa Kama zezeta mnataka wasomi wetu wangapi waharibike kama Dr ryoba ndio mshtuke kwamba jpm anatupeleka Chaka.
Sina haja Wala muda waku argue nawewe ila usimsingizie Mungu kwa dhambi ya wizi wa kura walimu walitishwa nao Kama ada wakatishika. Hope umeelewa.It is Lissu against wananchi wazalendo...Sasa sijui hapo Nani atakuwa mshindi. Hakuna Cha wafilisti Wala mabeberu..Mungu ameshaibariki Tanzania zamani.tatizo la .Corona ni sura mojawapo ya uwepo wa Mungu Tanzania..Nani zaidi ya Mungu. Mungu ndio ameusimika utawala wa JPM..nenda kokote mpaka jehanam Kama utamshinda...msiwachukulie poa watanzania mkadhani Ni wajinga..endeleeni kupiga kelele wenzenu wapo uchumi wa kati wanendeea kupeta tu..
Hapana.. ni ccm against wananchi. Watu hawadanganyiki kwa sasaIt is Lissu against wananchi wazalendo
Mbona unatumia nguvu nyingi sana kupingana na ukweli? Hata kama mfumo unakufaidisha ni bora ungekaa kimya kwa madudu tuliyofanya uchaguzi huu. Ni aibu kwa mtu yeyote mwenye utu wake.Atakaye dai haki Ni Nani Sasa hapa..ikiwa asilimia zaidi ya 80 ya wananchi wanamuunga mkono JPM na serikali yake. Au unadhan JPM kajipigia kura mwenyewe nchi nzima...hahahah..msiwachukulie poa wananchi wa Tanzania ..upinzani una Nini huu..hakuna lolote...na nasema watanzania wataendelea kuwanyima kura Kama mtaendelea nanupinzani usiokuwa na tija
Yaani wazungu watuwekee vikwazo mwaka 2020 duu, kweli alili ni mali, kwamba wao peke yao ndo wanaendesha dunia au? Tena wakijadai kuweka vikwazo tunaenda na nchi za Asia, CHINA, INDIA, n.k
Wache aibu iwe aibu tu..nimewapenda watanzania kwa maamuzi waliyochukua ya kuwachinja.. rudini mkajipange.hakuna mwarobaini mwingine..jomba..hayo Ni maamuzi yao msiwachukulie poa watanzania..Wana akili kuliko mnavyodhani..au unadhani hawaoni yanayofanywa na serikaliMbona unatumia nguvu nyingi sana kupingana na ukweli? Hata kama mfumo unakufaidisha ni bora ungekaa kimya kwa madudu tuliyofanya uchaguzi huu. Ni aibu kwa mtu yeyote mwenye utu wake.
Atakaye dai haki Ni Nani Sasa hapa..ikiwa asilimia zaidi ya 80 ya wananchi wanamuunga mkono JPM na serikali yake. Au unadhan JPM kajipigia kura mwenyewe nchi nzima...hahahah..msiwachukulie poa wananchi wa Tanzania ..upinzani una Nini huu..hakuna lolote...na nasema watanzania wataendelea kuwanyima kura Kama mtaendelea nanupinzani usiokuwa na tija
Ni madudu yapi yamefanywa unaweza kuelezea zaidi..mbona mnatuacha hewani bila details..muulizeni Jusa amewaza Nini...kwa sababu anajua kabisa wananchi waliamua nanhakuna wa kuwageuzaMbona unatumia nguvu nyingi sana kupingana na ukweli? Hata kama mfumo unakufaidisha ni bora ungekaa kimya kwa madudu tuliyofanya uchaguzi huu. Ni aibu kwa mtu yeyote mwenye utu wake.
Mkuu naona tunauelewa na mtazamo tofauti kuhusu kilichotokea uchaguzi huu, endeleza ligi na hao wenzako. Halafu mimi ni kada mkongwe wa CCM, usifikiri kila anayeona uchaguzi haukuwa sawa ni mpinzani. Fungua ubongo wako ufikiri nje ya box ulilofungiwaWache aibu iwe aibu tu..nimewapenda watanzania kwa maamuzi waliyochukua ya kuwachinja.. rudini mkajipange.hakuna mwarobaini mwingine..jomba..hayo Ni maamuzi yao msiwachukulie poa watanzania..Wana akili kuliko mnavyodhani..au unadhani hawaoni yanayofanywa na serikali